2 Petro 1:1
Print
Salamu kutoka kwa Simoni Petro, mtumwa na mtume wa Yesu Kristo. Kwenu ninyi nyote mliopokea imani inayowapa baraka sawa nasi. Mlipewa imani kwa sababu Mungu wetu na Mwokozi wetu Yesu Kristo hufanya yaliyo mema na haki.
Kutoka kwa Simoni Petro mtumishi na mtume wa Yesu Kristo. Kwa wote ambao wamepokea imani yenye thamani kama yetu kutokana na haki ya Mungu wetu na Mwokozi Yesu Kristo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica